Mshahara wa Kujikimu
Pata kujua Mshahara wa Kujikimu unapaswa kuwa kiasi gani katika kanda/eneo lako na katika nchi yako.
Pata kujua Mshahara wa Kujikimu unapaswa kuwa kiasi gani katika kanda/eneo lako na katika nchi yako.
Kusambaa kwa virusi vya corona kunaleta changamoto kwa waajiri na waajiriwa. Zitambue haki zako ili uweze kuzidai zitakapo hitajika.
Shirika la Wageindicator na washirika wake watafiti wanapenda kukualika ushiriki utafiti huu wa Maisha na ufanyaji kazi kipindi cha corona. Matokeo ya kila siku ya utafiti huu yanapatikana kwenye ramani na grafu